Changia

Asante kwa msaada wako.

Kila kitu tunachofanya kinawezekana kwa ufadhili wa ukarimu na maombi ya watu kama wewe. Kila mchango, mkubwa au mdogo, hutusaidia kufanya wengine kuwa wanafunzi kwa ajili ya Kristo kupitia mafundisho na nguvu za Neno la Mungu zinayobadilisha maisha.

Changia Sasa
External website link icon

Mafundisho ya Biblia

$10
Unaweza kumkabidhi muumini mpya kitabu cha Derek Prince .
$200
Unaweza kutengeneza kidijitali na kutoa video ya dakika 5-15 ya Derek Prince.
$2000
Unaweza kutafsiri kitabu cha Derek Prince katika lugha nyingine.
International giving icon

Kwa Nini Mchango Wako Ni Muhimu

Tunategemea michango ili kutekeleza jukumu letu la kimataifa la "kufikia wasiofikiwa na kufundisha wasiofundishwa" kwa utukufu wa Mungu. Ni huduma ya upendo kwa wote kutimiza Agizo Kuu.

Mchango wako unasaidia moja kwa moja huduma zetu zinazofadhiliwa kimataifa na jitihada zetu za kufundisha Biblia katika mataifa yote,kwa watu wote na katika lugha.zote

Njia Nyingine za Kuchangia

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na njia mbadala unazoweza kuchangia kwa Derek Prince Ministries.

Wasiliana nasi

Utoaji wa Urithi

Wekeza katika Ufalme wa Mungu na uache urithi wa kudumu na zawadi kwa Huduma ya Derek Prince katika wosia wako.

Utoaji wa Urithi
Gemma L