Jisajili kupokea Jarida
Tunachukulia faragha yako kwa uzito. Hakuna barua taka. Ondoa usajili wako wakati wowote.
Jinsi ya Kupita kutoka Laana hadi Baraka
Ni mada kuu ya Biblia na bado somo la baraka na laana halieleweki kwa wengi. Gundua nguvu hizi tofauti zinazofanya kazi katika maisha ya kila mmoja na jinsi ya kupita kutoka laana hadi baraka za Mungu.
Jisajili ili upate nakala yako ya 'Baraka au Laana', bila malipo.
Lugha: Kiswahili
Maoni ya wasomaji kuhusu kitabu
"Kimebadilisha mawazo yangu. Dhana ya laana ilikuwa ngeni kwangu, lakini inaonekana wazi sana baada ya kusoma kitabu." - Lisa Simon
"Kitabu chenye kuelimisha sana na rahisi kusoma." - Shirley
"Nimefurahi kujua nini maana ya laana katika maisha ya mtu na zaidi jinsi ya kuwa makini ili kuzitokomeza kwa jina la Yesu. Kitabu kizuri!" - Dahyana Diazb