Maeneo ya Huduma

Kuwafikia watu ni imani katika matendo na kunaonyesha kila kitu tunachosema na kufanya katika Derek Prince Ministries.

Tunapolenga mahitaji maalum ya huduma au maeneo kote ulimwenguni, tunawafikia watu kwa kufanya kazi katika mstari wa mbele wa uanafunzi wa Kikristo; kuwasaidia na kuwapa waamini rasilimali kuelekea ukomavu wa kiroho.

Kwa njia ya utendaji,Hii inajumuisha utafsiri,utayarishaji na usambazaji wa nyenzo za kufundishia ili kuwatayarisha wanafunzi kufanya wengine kuwa wanafunzi.Huduma nyingine za kuwafikia watu zinajumuisha usaidizi kwa jamii maskini na Wakristo wanaokabiliwa na mateso kwa ajili ya imani yao.

External website link icon

External website link icon

External website link icon

Kuwafikia Wenyeji

Tuna shauku ya kuwafikia wenyeji na kuwafundisha waamini kuwa wanafunzi kote nchini. Ili kufanya hivyo, tumekuwa tukitafsiri na kusambaza nyenzo za kufundisha Biblia za Derek Prince, ikijumuisha vitabu, makala, podikasti, video na zaidi. Tumetiwa moyo sana na majibu, na bado tunaendelea huku tukifahamu kwamba fursa nyingi zaidi zinatungoja.

Tunakualika kuomba na kuchangia kifedha huduma yetu ya kuwafikia wenyeji.

White heart icon
Changia

Kuwafikia watu

Kuwafikia waliopotea na kuwaandaa wanafunzi kufanya wengine kuwa wanafunzi kupitia mipango ya utendaji ya kuwafikia ambayo inaleta mabadiliko ya kweli.

Share notification iconBlack special offer iconBlack donate icon

Athari za Ulimwengu

Tuna shauku ya kuwafikia wenyeji na kuwafundisha waamini kuwa wanafunzi kote nchini. Ili kufanya hivyo, tumekuwa tukitafsiri na kusambaza nyenzo za kufundisha Biblia za Derek Prince, ikijumuisha vitabu, makala, podikasti, video na zaidi. Tumetiwa moyo sana na majibu, na bado tunaendelea huku tukifahamu kwamba fursa nyingi zaidi zinatungoja.

Kuwafikia watu Ni Nini?

Kuwafikia watu ni imani katika matendo na kunaonyesha kila kitu tunachosema na kufanya katika Derek Prince Ministries.

Tunapolenga mahitaji maalum ya huduma au maeneo kote ulimwenguni, tunawafikia watu kwa kufanya kazi katika mstari wa mbele wa uanafunzi wa Kikristo; kuwasaidia na kuwapa waamini rasilimali kuelekea ukomavu wa kiroho.

Kwa njia ya utendaji,Hii inajumuisha utafsiri,utayarishaji na usambazaji wa nyenzo za kufundishia ili kuwatayarisha wanafunzi kufanya wengine kuwa wanafunzi.Huduma nyingine za kuwafikia watu zinajumuisha usaidizi kwa jamii maskini na Wakristo wanaokabiliwa na mateso kwa ajili ya imani yao.

Hakujawa na hitaji kubwa la huduma hii kuliko sasa.

White heart icon
Changia