Changia

Asante kwa mchango wako

Kila kitu tunachokifanya kimewezekana kutokana na ukarimu wa kutoa na sala za watu kama wewe. Kila mchango, mkubwa au mdogo, unatusaidia sisi kuwafanya wanafunzi kwa ajili ya Kristo kupitia elimu nzuri na nguvu ya Neno la Mungu inayobadili maisha.

Changia sasa
External website link icon
International giving icon

Kufundisha Biblia

$10
Naweza kumpa muumini mpya kitabu cha Derek Prince.
$200
Naweza kudurufu na kutengeneza video ya dakika 5-15 ya Derek Prince.
$2000
Naweza kutafsiri kitabu cha Derek Prince katika lugha nyingine.
International giving icon

Kwa nini Mchango wako ni Muhimu

Tunategemea michango kwa ajili ya kutenda huduma yetu duniani "kuwafikia wasiofikiwa na kuwafundisha wasiofundishwa" kwa utukufu wa Mungu. Ni huduma ya upendo kwa ajili ya kutimiza Mwito Mkuu.

Mchango wako moja kwa moja utawezesha uhamasishaji na jitahada zetu za kufundisha Biblia katika mataifa yote, watu na lugha zote.

Njia Nyingine Za Kuchangia

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kwa njia nyingine ambazo utaweza kuchangia Huduma ya Derek Prince

Wasiliana Nasi

Utoaji Wenye Alama

Wekeza kwenye Ufalme na kuacha alama ya kudumu ya zawadi kwenye wosia wako.

Utoaji Wenye Alama
Gemma L