Huduma za Uhamasishaji

Uhamasishaji ni imani katika matendo na inaonyesha uhalisia wa kila kitu tunachokisema na kukifanya kwenye Huduma ya Derek Prince.

Tukilenga maeneo maalum na kanda mbalimbali ulimwenguni, uhamasishaji wetu hufanyika kwa upao mbele wa uanafunzi wa Mkristo, kusaidia na kuwezesha waaminio kupevuka kiroho.

Kwa vitendo, hufanya yafuatayo tafsiri tandawazi, kuzalisha na kusambaza mafundisho ya kuwawezesha wanafunzi kufanya wanafunzi. Huduma nyingine za uhamasishaji ni zahusika na kusadia jamii za zilio maskini na Wakristo wanaokabiliwa na mateso kwa sababu ya imani yao.

External website link icon

External website link icon

External website link icon

Uhamasishaji Wa Ndani

Ni shauku yetu ya dhati kuwafikia walio ndani na wanafunzi waaminio kwa moyo wote nchini kote. Kuwezesha hilo, tumetafsiri na kusambaza mafundisho ya Derek Prince kuhusu Biblia ikiwa ni pamoja na vitabu, makala, sauti, video na mengineyo. Tumetiwa moyo sana na matokeo na hivyo tunajua kuna fursa nyingi zaidi zinatungoja.

Tunakukaribisha wewe kuomba na kuchangia fedha kwa ajili ya uhamasishaji wa ndani.

White heart icon
Changia

Uhamasishaji

Kuwafikia waliopotea na kuwawezesha wanafunzi kufanya wanafunzi kupitia uhamasishaji kwa njia zitakazoleta mabadiliko ya ukweli.

Share notification iconBlack special offer iconBlack donate icon

Matokeo Kimataifa

Ni shauku yetu ya dhati kuwafikia walio ndani na wanafunzi waaminio kwa moyo wote nchini kote. Kuwezesha hilo, tumetafsiri na kusambaza mafundisho ya Derek Prince kuhusu Biblia ikiwa ni pamoja na vitabu, makala, sauti, video na mengineyo. Tumetiwa moyo sana na matokeo na hivyo tunajua kuna fursa nyingi zaidi zinatungoja.

Uhamasishaji Ni Nini?

Uhamasishaji ni imani katika matendo na inaonyesha uhalisia wa kila kitu tunachokisema na kukifanya kwenye Huduma ya Derek Prince.

Tukilenga maeneo maalum na kanda mbalimbali ulimwenguni, uhamasishaji wetu hufanyika kwa upao mbele wa uanafunzi wa Mkristo, kusaidia na kuwezesha waaminio kupevuka kiroho.

Kwa vitendo, hufanya yafuatayo tafsiri tandawazi, kuzalisha na kusambaza mafundisho ya kuwawezesha wanafunzi kufanya wanafunzi. Huduma nyingine za uhamasishaji ni zahusika na kusadia jamii za zilio maskini na Wakristo wanaokabiliwa na mateso kwa sababu ya imani yao.

Hapajawahi kuwa na uhitaji mkubwa wa huduma hii kama sasa.

White heart icon
Changia